Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Wanaotaka kuiua CUF wafikirie Mara tatu kwa maana mbeleni naona mfalme CHADEMA anaandaliwa .
Kama CUF ya Maalim Seif iliungana na CHADEMA ya LOWASSA wakapata wabunge 10 Tanzania Bara ,akihama moja kwa moja kwanza CUF itakufa na pili CHADEMA itachukua hatamu Bara na Visiwani .
Wasiwasi wangu ni kwamba CCM itapata wakati mgumu Mara dufu kuisambaratisha CHADEMA Visiwani kama inavyofanya kwa CUF ikiwa tu Maalim Seif na kundi lake wataamua kuhama chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM, Chadema na Lowasa hawa ndio wachawi wa CUF.....

Chadema na CCM kila mmoja anachekelea kimya kimya kwa kinachoendelea ndani ya CUF....
 
Wabunge hao watahamia chadema na watachaguliwa tena kupitia chadema
Kisiasa ni kosa watanunuliwa tena!Japo kwa sasa cdm ina gain kutokana na mgogoro huu,naiona cdm ikipata japo jimbo z'bar na ikipoteza eneo kubwa bara hasa Kanda ya ziwa.Cuf hii ya lipumba na Sakaya ikipata japo jimbo moja bara itatakiwa itambike.
 
Naona mleta uzi kajitahidi ila anajidanganya huzijui siasa za zanzibar na wala hajui nini siasa na huyo lipumba Ana siku yake subirini mtaona kitakacho mpeta hao ccm zanzibar u nadhani hawajui cuf wewe tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom