CUF: Liwale inahitajika Tume huru ya Uchaguzi

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
CUF-CHAMA CHA WANANCHI.

TAARIFA KWA UMMA.

LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.

Screenshot_20201228-190914.png
Screenshot_20201228-190945.png
Screenshot_20201228-191108.png
 
Lipumba si huwa anaalikwa ikulu? Akaongee huko ikulu na huyo aliyemuingiza mjini. Mnaitwa ikulu kutumika, mkifanyiwa unyama mnakuja mitandaoni kuuza sura.
 
Nadhan umempa jibu mujarab hyu muhuni alieuliza hicho kiswali cha kiboya.
 
Lipumba si huwa anaalikwa ikulu? Akaongee huko ikulu na huyo aliyemuingiza mjini. Mnaitwa ikulu kutumika, mkifanyiwa unyama mnakuja mitandaoni kuuza sura.
Hayo yote sawa; lakini mbona hamuwataji hao watu makini wanaostahili kuwatetea wananchi?
 
Lipumba si huwa anaalikwa ikulu? Akaongee huko ikulu na huyo aliyemuingiza mjini. Mnaitwa ikulu kutumika, mkifanyiwa unyama mnakuja mitandaoni kuuza sura.
Hata mimi nashangaa Lipumba ni sehemu ya Ikulu sijui anaogopa nini?
 
CHADEMA walisema mapema wakaonekana ni wajinga kumbe muda ulikuwa haujafika, CCM ni shetani kabisa hana rafiki wa kudumu.
 
Cuf mbona mnatumia mzani wa TRA kwenye nembo yenu?
TRA ndiyo wanatumia nembo ya CUF,
Maana TRA ndiyo wameikuta CUF ,au wewe ulikuwa hujazaliwa?

Hata hivyo CUF ni wachumua tumbo kwa sasa,baada ya kuachwa na mme wake CCM.
 
Back
Top Bottom