Elections 2010 CUF na CHADEMA waungane

Elections 2010 CUF na CHADEMA waungane

Status
Not open for further replies.
Mtazamo wangu ni kwamba, tunataka demokrasia ya kweli. Wanaotangaza nia wote katika vyombo vya habari ni wana CCM tuu, does it mean campaigns zimeeanza kwa chama tawala au...

I thout kama vyama vingine vingepata coverage mapema, na endapo Wagombea urais wangetambuliwa mapema, huenda sera zao zingetambulika kwa wananchi wa vijijini ambao are the most affected na voting, nz matokeo ya uchaguzi zaidi ya watu wa mijini (my analysis)

Kwa nn vyama vya upinzani vilichelewa kuwachagua/nominate wagombea wao? CCM dd it since before Mbayuwayu....
Slaa would have given nice oposition challenges kama angekua ameteuliwa mapema.

May be, the rest of the vyamaz waungane kumuunga mkono Slaa ktk Urais...Tuwe macho, we need a true democracy in Tanzania for the national development...otherwise kulindana na utabaka hautaisha milele..:bowl:
Nawakilisha hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom