CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
#HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo agosti 29, 2020 amezindua mpango maalum wa wanachama na wapenzi wa CUF kuchangia chama Chao katika kipindi hiki Cha Uchaguzi.
Akaunti ya kuchangia iko benki ya NMB, tawi la Temeke: JINA LA AKAUNTI: CUF MICHANGO, NAMBA YA AKAUNTI NI 20710050166
UNAWEZA PIA KUCHANGIA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
1. VODA: 0762469342
2. TIGO
0658111925
3. ZANTEL
0777760490
4. AIRTEL
0699533883