Uchaguzi 2020 CUF: Prof. Lipumba amepitishwa kuwa mgombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 CUF: Prof. Lipumba amepitishwa kuwa mgombea Urais wa Tanzania

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200728_062906_598.jpg
Screenshot_20200728-062521.png
 
Muhunzi naye kapata alichokipanda,
Unafiki wa siasa unamtafuna
Pole Muhunzi,Ulipinga Lipumba Kuiunga nkono CCM ndio maana ukafukuzwa.
Ndoto yako ya kugombea uraisi Zanzibar au kuwa Katibu Mkuu CUF imeshazimwa.
Khalifa angelikuwa hai angeshafukuzwa na yeye.
Mumegeuzwa punda ,Mradi mzigo ufike wa kuiua CUF Zanzibar ,lenu ni kuachwa nje bandani ukifungwa Lijamu shingoni.
Fyataaaa
Polee Mkuu ndio siasa
 
Naibu katibu wa hicho chama kwa mbaaaaliil labda anaweza kuwa ndio yeye mbunge pekee kwa chama hicho, Lipumba anajua Sakaya ndio kila kitu Cuf
 
Mnazidi kuzigawa kura! Inapendeza.
Hawawezi kuzigigawa,siamini kama mtu unaakili timamu kura yako unaweza kuwapa hawa wajinga kina Lipumba wasiyo na tone hata la aibu,Hongera Sharif Hamadi kwa kuwaacha kwenye mataa.
 
cuf hakuna tena mnachokiweza yani hamna wanasiasa maharufu na wenye kujielewa. wachumia tumbo
 
Hana jipya tangu 1995 huko CUF hamna wanachama wengine?
 
Back
Top Bottom