CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Mnajichosha tu hiki chama kimeshakufa .
Shina la CCMMnazidi kuzigawa kura! Inapendeza.
Hiki ni chama au NGO ya Mwenyekiti?
Hawawezi kuzigigawa,siamini kama mtu unaakili timamu kura yako unaweza kuwapa hawa wajinga kina Lipumba wasiyo na tone hata la aibu,Hongera Sharif Hamadi kwa kuwaacha kwenye mataa.Mnazidi kuzigawa kura! Inapendeza.
Hawa watakuwa wanagawana na CCM ...............!!Mnazidi kuzigawa kura! Inapendeza.