Uchaguzi 2020 CUF: Prof. Lipumba amepitishwa kuwa mgombea Urais wa Tanzania

Anatafta posho ya kuzunguka nchi nzima toka ccm.
 
Kama atafanikiwa kukamata dona, atakuwa ndie profesa wa kwanza kuwa rahisi barani kwetu
 
Kila msimu chama kina mgombea mmoja tu wa urais, ndo kitegemee kushinda sijui baraza lake la mawaziri kitatoa wapi au yeye atakuwa Rais na baraza la mawaziri yeye mwenyewe maana hakina watu zaidi ya yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…