Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.
Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.
Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.

Tatizo sio Mswada ni mabadiliko madogo ya katiba. Bila katiba kufanyiwa mabadiliko huo mswada hautafanya kazi. Hivyo CUF wanaongea kinyume kabisa. Yaani wanapinga mswada utolewe halafu wasubiri mswada upite hiyo ni akili gani?
Pili maandamano yanashida gani kama ni haki yao. Kama hutaki kuandamana kaa nyumbani. Haya ni maandamano ya amani
Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.
Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.
Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.
Hapana, maandamano yaendelee ili kila mtu ashinde mechi zake na kila mtu avune alichokipanda, hata hivyo wanajeshi wamekaa muda mrefu bila kugusagusa miili ya watu
CHAMA CHA AFP CHAKUMBWA NA JINAMIZI LA WOGA WA UDIKTETA WA CHAMA DOLA CCM KURUDI , HAITAKI KUKOSA FADHILA NA HISANI ZA RAIS SAMIA HASSAN
Mwenyekiti wa chama cha Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) Tanzania Mh. Rashid Ligania Rai atoa tamko zito ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=6CO7ReWGJNAMwenyekiti mheshimiwa kiongozi Rashid Ligania Rai amekishutumu chama kikuu cha upinzani Tanzania kuwa kilishindwa kuandamana kwa miaka sita iliyopita, hivyo vyama vidogo sasa ni wakati wao kushawishi watanzania bila maandamano.
Maana marufuku haramu ya kufanya shughuli za kisiasa iliyowekwa na utawala wa Magufuli tangu 2016 ikafifisha vyama vyao kisiasa .inaweza kurudishwa tena 2024 na utawala wa Rais Samia Hassan.... hilo hawalitaki maana nao wanataka kukua kisiasa kupitia hisani na fadhila iliyopo sasa chini ya awamu ya sita kuruhusu shughuli za kisiasa ....
..tunachotakiwa kujiuliza ni kama mapendekezo ya Chadema yanaboresha miswada, au hayaboreshi. Tuachane na yaliyotokea huko nyuma. Kwamba chama fulani kukifanya hili au lile.