Pre GE2025 CUF: Subira itumike, maandamano yasitishwe hadi Bunge lipitishe miswada ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi

Pre GE2025 CUF: Subira itumike, maandamano yasitishwe hadi Bunge lipitishe miswada ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana, maandamano yaendelee ili kila mtu ashinde mechi zake na kila mtu avune alichokipanda, hata hivyo wanajeshi wamekaa muda mrefu bila kugusagusa miili ya watu
Hapo ndipo unakosea...Katiba inaruhusu maandamano, halafu haya maandamano ya amani..? Sasa wana jeshi wa nini? kwani vita hii.
Haki ya msingi inazuiliwa kwa ajili ya utashi wa watu wachache walioko madarakani.
 
19 January 2024

Paul Makonda ambaye ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM akihutubia kuhusu maoni ya wapinzani

NIKIFIKA KILIMANJARO NATAKA NIKALALE KWENYE NYUMBA YA MBOWE, MNYIKA, LISSU MBOWE MSINIOGOPE"


View: https://m.youtube.com/watch?v=zFda1Pd0K48

N.B

Kweli chama kongwe dola CCM kimekosa viongozi wenye sifa pia kuishiwa pumzi ya kisiasa ......
 
18 JANUARY 2024

CUF YASEMA SUBIRA ITUMIKE, MAANDAMANO YASITISHWE HADI BUNGE LIPITISHE MISWADA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA TUME YA UCHAGUZI



Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA 24 January 2024.

Katibu mkuu wa CUF alipobanwa zaidi kuwa kiuhalisia bunge ni la chama kimoja dola kongwe yaani CCM, je chama cha CUF wanauhakika gani CCM yenye wabunge wengi ktk bunge na kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba wanaweza kusikiliza maoni ya wasio wanaCCM na wadau.

Katibu mkuu wa CUF Bw. Hamad Masoud Hamad alipobanwa kuwa anatarajia kitu tofauti kutoka CCM, akasema kwa kuwa chama hicho dola kongwe CCM kina wabunge zaidi ya 97% ya wa wabunge wote katika bunge la 2020 hategemei CCM kusikiliza maoni ya vyama ya upinzani na wadau walio nje ya bunge la sasa, akasema ingekuwa bunge la sasa ni kama la mwaka 2015 angekuwa na matumaini ya kitu tofauti maana wapinzani ndani ya bunge walikuwa zaidi ya 40% hiyo ingeleta majadala mzito.


27 January 2024
Prof. Lipumba mwentekiti wa CUF akazia haki ya Maandamano ya January


View: https://m.youtube.com/watch?v=Vo2EmgINHaM

VIP ya gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam , wananchi 70 walipoteza maisha ya Pemba ikabidi zaidi ya watu 2 000 wa Pemba kukimbilia Shimoni Mombasa Kenya, hii ni mara ya kwanza Tanzania kuzalisha kundi kubwa la wakimbizi uhamishoni nje ..... chaguzi kuwa huru na haki haukuwa wakati wa Mkapa, wakati wa Jakaya Kikwete wala kipindi cha John Magufuli na leo hii January 27 2024 bado tunalilia uchaguzi ulio huru na haki katika uongozi wa awamu ya Rais Samia Hassan .... ni muda mrefu rasimu kibao ziliandikwa lakini CCM mpaka leo wanatumia wingi wao kuhujumu uwezekano wa sheria mpya za uchaguzi na sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakati bunge litapokutana January 30 2024 ....

Ni wazi CCM na serikali yake hawataki mabadiliko yoyote mambo no shaghalabaga ...
 
27 January 2024

🅻🅸🆅🅴 : PROF. LIPUMBA ANAZUNGUMZA MUDA HUU NA WAANDISHI WA HABARI.........


View: https://m.youtube.com/watch?v=bbhG16VC8l4

mazito ya ilipoanza hadaa za chama kongwe dola CCM kuhujumu kila mchatako wa katiba mpya, sheria za uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zilipoasisiwa tangu mwaka 1995 hadi leo 2024 zawekwa hadharani
 
Back
Top Bottom