GE2025 CUF: Tutamwandikia GSM atuchangie kama kweli ana mapenzi ya kuimarisha demokrasia nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Wakizungumza jijini Dar-es-salaam , baadhi ya viongozi wa CUF wamesema kitendo cha kampuni hiyo kuchangia Shilingi bilioni 10 kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaonyesha dhamira ya kusaidia shughuli za kisiasa, hivyo ingekuwa vyema msaada huo ukatolewa kwa vyama vyote ili kuhakikisha ushindani wa haki.

Pia soma GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi

VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Wakizungumza jijini Dar-es-salaam , baadhi ya viongozi wa CUF wamesema kitendo cha kampuni hiyo kuchangia Shilingi bilioni 10 kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaonyesha dhamira ya kusaidia shughuli za kisiasa, hivyo ingekuwa vyema msaada huo ukatolewa kwa vyama vyote ili kuhakikisha ushindani wa haki.

View attachment 3442819
akuchangie hela za CCM? hizo si zake yeye kapewa jukumu la kutakatisha....money laudering
 
Kafu na ACT wanaweza kupewa, Chadema sio rahisi na CHAUMA ni fifty fifty hasa baada ya ujio wa Mpina is wasn't ochestered by Lumumba stadium
 
Back
Top Bottom