Pre GE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama.

View attachment 3224810
Lipumba hawezi kukubali
 
Msameheni,mbona ccm hakukuwa na wajaza fomu? Watu wametoka mikoani kwa gharama za kodi ya wananchi wakaambulia kupigia jina moja?
 
Haya yote kasababisha Mhe. Lissu baada ya kuung'oa Mbuyu (Mbowe)

Atakayefuata ni yule wa Dodoma aliyeprintiwa Fomu Moja, ngoja tuone baada ya Bunge kuvunjwa Mwezi wa 6
 
Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama.

View attachment 3224810
Kumbe CUF bado ipo, au imejiotea tena kama mgomba au muwa unavyoota ukishakatwa.
 
Back
Top Bottom