Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa kama chawaProfesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.
KabisaAtawafukuza wote hao
Siasa za Tanzania hazihitaji busara na siyo Tanzania tu, unaweza kuona Msumbiji, angalia Congo bila shinikizo ama la siraha au kiraia hawakubali maridhiano. Bi Rais alidanganya maridhiano toka anamrithi Magu,imekuwa danganya toto hadi uchaguzi huo hapo. Pressure inafaa.Profesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.
Kibaraka huyuuu simpendii kbsssWanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama.
View attachment 3224810
Hicho ni chama cha LipumbaKabisa
Bora mmuue lakini sio kuachia madarakaLipumba aisee apumzike tena duh
Wewe pimbi kweli.busara ipi unayoiongelea kila siku?Profesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.
Ngoja tutamnyoosha huyu mama dictator.Siasa za Tanzania hazihitaji busara na siyo Tanzania tu, unaweza kuona Msumbiji, angalia Congo bila shinikizo ama la siraha au kiraia hawakubali maridhiano. Bi Rais alidanganya maridhiano toka anamrithi Magu,imekuwa danganya toto hadi uchaguzi huo hapo. Pressure inafaa.
Wanataka kulogwa?Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama.
View attachment 3224810
Hamna mafia mzee boss.
Ukweli mtupu alafu ni wakupanga wao na chama cha majambazi.Minyukano ya kujiweka sokoni.
wangemuwahi kabla hajachaguliwa tena.Atawafukuza wote hao
Nyuma ake kuna msajili hawatamuwezawangemuwahi kabla hajachaguliwa tena.
Usiwapangie bwanaa we si mitano tenaaProfesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.