Pre GE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa jinsi alivyopambana na Hayati Maalim Seif, sidhani kama kuna mtu anaweza kumtoa kwenye hiyo nafasi....watafute tu chama kingine
 
Profesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.
Siasa za Tanzania hazihitaji busara na siyo Tanzania tu, unaweza kuona Msumbiji, angalia Congo bila shinikizo ama la siraha au kiraia hawakubali maridhiano. Bi Rais alidanganya maridhiano toka anamrithi Magu,imekuwa danganya toto hadi uchaguzi huo hapo. Pressure inafaa.
 
Kibaraka huyuuu simpendii kbsss
 
Profesa Lipumba bado ni kiongozi sahihi kwa CUF. Hao jamaa wasifanye kosa kama la CHADEMA la kumtoa Mbowe na kumweka mwanaharakati asiye na busara Lissu.
Wewe pimbi kweli.busara ipi unayoiongelea kila siku?
 
Ngoja tutamnyoosha huyu mama dictator.
Anatuharibia CCM yetu
 
Wanataka kulogwa?
 
Reactions: M45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…