Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mambo ya kuzingatia:
a. Baada ya CCM, CUF ni chama cha pili kinachopokea ruzuku nyingi toka serikalini.
b. Pesa hizo ni nje ya wanazopata kupitia wafadhili, miradi yao mbalimbali (kama wanayo), uwekezaji benki (kama wanafanya) na michango ya wanachama (kama ipo)
c. ni nje ya fedha za mishara ya wabunge na wawakilishi wake
Nitaendelea kuwaletea taarifa za vyama vingine vikuu vinavyopokea ruzuku ya fedha za walipa kodi wa Tanzania kwa kadiri siku zinavyokwenda na kwa kadiri zinavyopatikana
Last edited by a moderator: