Kwani wana tofauti gani na Chadema...!?
Wana tofauti kubwa sana na chadema. CUF hawana tofauti na CCM - angalau safu ya juu ya uongozi wa ccm na safu ya juu ya uongozi wa CUF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wana tofauti gani na Chadema...!?
Kwahiyo tukiite vipi? siasadini?Chama cha kisiasa ila kimekaa kama cha dini vile...
Kwani wana tofauti gani na Chadema...!?
Kwa hiyo unatuthibitishia kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo!?Wana tofauti kubwa sana na chadema. CUF hawana tofauti na CCM - angalau safu ya juu ya uongozi wa ccm na safu ya juu ya uongozi wa CUF
Nasikia kuna arufu ya udini chadema!Yeah kuna Mh Arfi na Mh Zitto nadhani nitofauti hizo......
Nasikia kuna arufu ya udini chadema!
Kwani CUF ni chama cha Kidini ama Kisiasa?
Ah ah ah ah kwa hiyo Chadema wao siku ya sabato au sio?CUF uko wazi ndo maana leo Ijumaa - Kampeni!
NO; kuna arufu ya upako wa mtume sw na majini 7Nasikia kuna arufu ya udini chadema!
Kwa hiyo unatuthibitishia kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo!?
Ah ah ah ah kwa hiyo Chadema wao siku ya sabato au sio?
Ah ah ah ah kwa hiyo Chadema wao siku ya sabato au sio?
Hivi umeelewa swali au unakurupuka kujibu tu... wacha jazba elewa maandishi kabla uajibu!hayo umeyasema wewe mdini uliyekubuhu
.Kimerushwa kijembe kwa CCM kuwa chini ya kamanda said miraji haanguki mtu Jukwaani...Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Pole sana ungejuwa msimamo wangu wala usinge kurupuka kuyasema hayo yote... pole sana kijana!Leo nimekupiga bao loooh unaona aibu mtu mzima, Jamaa wametoka Msikitini wakaenda kwenye kampeni haina shida.....yote siasa! Ila muache chuki CUF jamani.
Naona wengine watakuwa kidongo chekundu ila ki mwelekeo JF imekaa kichadema chadema tu ngoja kesho wakizindua utaona thread zitakavyogongana
Hivi umeelewa swali au unakurupuka kujibu tu... wacha jazba elewa maandishi kabla uajibu!