Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

Sio wako ok na ufisadi, ni kuwa wameufaidi huo ufisadi wa ccm, kwani nasikia mmoja wa wafadhili wao wakubwa ni RA
.

sio RA kwa CUF tu bali mmoja wa wafadhili wa chadema ni Sabodo wa CCM na chadema wanafaidi pia
 
Wewe ulipojibu swali ni wapi?

Nasubiria bado kuulizwa swali.

Labda tuanze upya, nitauliza swali langu na wewe utauliza la kwako.

Umesema kuwa chadema wanazindua kampeni siku ya sabato, je siku ya sabato ni jumamosi au jumapili?
 
Nasubiria bado kuulizwa swali.

Labda tuanze upya, nitauliza swali langu na wewe utauliza la kwako.

Umesema kuwa chadema wanazindua kampeni siku ya sabato, je siku ya sabato ni jumamosi au jumapili?
Aliye anza mada ya udini na kueleza kuwa chama cha C.U.F (Japo mimi si shabiki wa CUF) kimefungua campain zake siku ya ijumaa ni wadini, ukutaka hata kumuuliza zaidi ya kumuunga mkono.
 
Basi kama sio la msingi sana turudi kwenye mada!
 
Hero

Join Date Fri Aug 2010Posts 32
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Mkuu wangu Hero,
Unajua nilikuwa nimesahau kukukaribisha jamvini. Class ya August 2010. Karibu sana.
 
Hero

Join Date Fri Aug 2010Posts 32
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Mkuu wangu Hero,
Unajua nilikuwa nimesahau kukukaribisha jamvini. Class ya August 2010. Karibu sana.

Asante sana mkuu Mwafrika!
 
Back
Top Bottom