chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF.
it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba Bashiru amelipia kadi ya CUF mpaka 2027. Mara kadhaa amekuwa akikutana kwa Siri na Prof Lipumba.
Bashiru amedai kwamba nafasi yake kisiasa ndani ya CCM haipo tena, na ameeleza Nia yake ya kuutaka urais wa Tanzania.
Mwenda kwao si mtumwa. Ila tunakumbusha tu viapo alivyokula akiwa Katibu Mkuu kiongozi, ambavyo vinalindwa na sheria ya usalama wa Taifa.