CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF.

it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba Bashiru amelipia kadi ya CUF mpaka 2027. Mara kadhaa amekuwa akikutana kwa Siri na Prof Lipumba.

Bashiru amedai kwamba nafasi yake kisiasa ndani ya CCM haipo tena, na ameeleza Nia yake ya kuutaka urais wa Tanzania.

Mwenda kwao si mtumwa. Ila tunakumbusha tu viapo alivyokula akiwa Katibu Mkuu kiongozi, ambavyo vinalindwa na sheria ya usalama wa Taifa.
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uanachama wa chama utakoma endapo utafariki au kujiunga na chama kingine cha siasa.
 
Suala la Bashiru ni suala la msingi kuwa wakulima na wanyonge wote waungane kutoa sauti zao. Suala la Bashiru alikuwa nani halina mashiko. Kama alikuwa kibaraka au mwizi au mbaya sio hoja. Hoja yake ya sasa haina ubaya na ina msingi. Wanaobeza hawaelewi maana ya hoja au ndio hawana hoja. Kusifiasifia watawala ni melodi ya vibaraka na wasaka tonge. Kama naye alikuwa hivyo awamu iliyopita hakuwa sahihi.
Watu wajikite kwenye hoja. Hata hivyo haina maana sana kujadiliana haya. Hoka iko wazi.
 
Rais Samia katulia tuli. Unajua anasoma hoja zenu? Pengine wala hapendi sana kusifiwa sifiwa ila basi tu. Anaona hata nani anajigonga gonga. Shauri zenu. Utashangaa unamsifuuu yeye anakuchora...mie sipo!!!😅😅😅
.
 
Back
Top Bottom