CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

Ni haki yake kikatiba kabisa nimatakie all the best aendako
 
chawa wote wa mwendazake wanatakiwa kusagiwa kunguni, walitutesa sana, wamefanya mengi sana, walijiona miungu watu, hawastahili hata kupata hcochote. anayetegemea mwanadamu huwa anadondokea pua siku mwanadamu yule anapokufa. tumainiini Mungu tu.
Usisahau, kila mchuma janga ula na wa kwao
 
Wewe chiembe acha kutumika kama kopo la chooni.

Mchana kutwa leo umeshinda Na Bashiru mitandaoni bila Mafanikio!

Mabwana zako wamekuagiza urudi kivingine jioni hii?

Tunasema hivi.....Kauli Moja ya Bashiru imeitingusha CCM nchi nzima!

Walamba Asali wsko Mashakani,wasiyemtarajia kajitokeza!

Yeye anatajua Mabaya yenu mengi kuliko wayajuayo mabwana zako chiembe ya kwake!

Ni shida kuwa Chinembe maana utasuguliwa mlangoni huku wenyewe wakila vya ndani usikofika wewe!
 
Wewe ndiye @chinembe??
 
Huu sio Uganga wa kienyeji?,Dr.Bashiru ana haki yake kama sisi kujiunga na political party yeyote anayataka na kukubaliana na katiba ya chama anachokitaka, kiapo cha kuwa katibu mkuu wa ofisi ya rais!!acha uzuzu wako,usalama gani wa taifa unausema hapa?,uoga wa middle class ndio cancer kubwa, sasa soma hii,kuna wakati two former PM walikua kwenye oppositions, na maisha yakaendelea
 
Kama ni mwanachama hai na hajawahi kuiacha CUF, vipi arejee sehemu ambako hajawahi kuondoka ?
 
chawa wote wa mwendazake wanatakiwa kusagiwa kunguni, walitutesa sana, wamefanya mengi sana, walijiona miungu watu, hawastahili hata kupata hcochote. anayetegemea mwanadamu huwa anadondokea pua siku mwanadamu yule anapokufa. tumainiini Mungu tu.
Hata Samia alikuwa chawa wa Magufuli labda hauelewi,niliwahi kumsikia kwenye kampeni ya uchaguzi,akisema hata mpige kura msipige lazima CCM ya Magufuli lazima itawale,kila Siku alikuwa akizunguka kusifu kazi za Magufuli
 
Maisha yamemgeuka, kutoka Katibu Mkuu Kiongozi, mpaka kuzurura na starlet kariakoo akijiendesha
Hana huo umasikini unaofikiria, Bashiru huyu wa mwendazake atasuasua kwenye maswala mengine lakini sio swala la pesa, pesa waliochimba hao jamaa sio ya kitoto.
 
Msikilizeni Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Chongolo
Your browser is not able to display this video.
 
Ataenda CUF kwa maelekezo maalum, atafanya siasa kwa maelekezo, na atagombea kwa maelekezo na atashindwa kwa maelekezo, na pia atampongeza mshindi kwa maelekezo, na Chama kitadumu madarakani milele
 
Hana huo umasikini unaofikiria, Bashiru huyu wa mwendazake atasuasua kwenye maswala mengine lakini sio swala la pesa, pesa waliochimba hao jamaa sio ya kitoto.
Eeeehhh
 
Na kile chama kinachosubiri usajili kitakuwaje sasa? Au kuna plan A na B?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…