Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Apr 22, 2025 #21 Elias Msuya said: "Hivyo, msimamo wetu mpaka sasa ni wa Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kulinda kura zetu kwa jasho na damu, ikilazimu. Click to expand... Huu ni upumbavu mtupu, unalinda KURA zako wakati umesaini kuwa hata nakala ya matokeo hutapewa?! Wengine sijui makalio yenu mnayatumia kufanyia nini, anyway hatutashiriki uchaguzi
Elias Msuya said: "Hivyo, msimamo wetu mpaka sasa ni wa Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kulinda kura zetu kwa jasho na damu, ikilazimu. Click to expand... Huu ni upumbavu mtupu, unalinda KURA zako wakati umesaini kuwa hata nakala ya matokeo hutapewa?! Wengine sijui makalio yenu mnayatumia kufanyia nini, anyway hatutashiriki uchaguzi
Hector Cooper JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 779 Reaction score 1,177 Apr 22, 2025 #22 muafi said: Ivi mule kwa wale G 55, ni nani mwenye ushawishi kwamba akihama chama kuna watu watamfuata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Yeriko
muafi said: Ivi mule kwa wale G 55, ni nani mwenye ushawishi kwamba akihama chama kuna watu watamfuata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Yeriko