cuhas ada

edolight

Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
18
Reaction score
5
hvi kwann cuhas ada zao za degree ni sawa wakati vitu wanavyosoma na mahitaji yao ni tofauti?
 
Hicho ni chuo private, wana maamuzi yao ambayo hayakiuki muongozo wa TCU, nenda imtu au Kairuki kama unaona CUHAS wako juu au jaribu Kenya uone, nenda imtu uone wakenya walivyojaa kukwepa ada za medical school huko kwao ingawaje IMTU na Kairuki wako juu kwa ada ukilinganisha na vyuo vingne
 


Hapana kama ni gharama Cuhas imezidi bro!!! Tunatambua kuwa hiki chuo kimetokana na saut kama ilivyo St Francis mbona wao gharama sio kihivyo
 
Tatizo watanzania tumezoea kulinganisha badala ya kuangalia halisi na kuifanyia kazi.md sio sawa na nursin na sio sawa na pharmarcy wala lab.
 
Tatizo watanzania tumezoea kulinganisha badala ya kuangalia halisi na kuifanyia kazi.md sio sawa na nursin na sio sawa na pharmarcy wala lab.

We vipi? Kwan sfuchas wanatoa courses gan nyingine zaidi ya MD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…