Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni chuo private, wana maamuzi yao ambayo hayakiuki muongozo wa TCU, nenda imtu au Kairuki kama unaona CUHAS wako juu au jaribu Kenya uone, nenda imtu uone wakenya walivyojaa kukwepa ada za medical school huko kwao ingawaje IMTU na Kairuki wako juu kwa ada ukilinganisha na vyuo vingine
Hapana kama ni gharama Cuhas imezidi bro!!! Tunatambua kuwa hiki chuo kimetokana na saut kama ilivyo St Francis mbona wao gharama sio kihivyo
Tatizo watanzania tumezoea kulinganisha badala ya kuangalia halisi na kuifanyia kazi.md sio sawa na nursin na sio sawa na pharmarcy wala lab.
kaka umechaguliwa pale au? JOSEPH SAKI