Cuhas

Cuhas

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
CUHAS, mnaongeza idadi ya wanafunzi wakati mnajua fika kuna tatizo la malazi. Sasa watoto wanatafutana kupata vyumba chuoni. Wakatoliki, wacha wengine wafanye hivyo sio nyinyi. You are ruining your credibility! We need quality products and not quantity
 
Hivi kuna chuo kina malazi ya kutosha kwa wanafunzi wote.
 
by the way walichokifanya sio poa as kuna wanafunzi walilipia vyumba kabla hawajaondoka and baada ya kufungua wana ambiwa hostel za chuo hamna na badala yake wanapelekwa malimbe ambako nauli ni kama 1600 kwa siku! it is not fair yani
 
Tatizo la maradhi lipo almost kila chuo tanzania....ila nackia udom mavyumba bwerere had mengne yapo vacant tuu
 
Mchapafito wenzako wanaongelea malazi yaani sehemu za kulala wanafunzi. Wewe unaongelea maradhi, yaani magonjwa. Nafikiri ni hoja mpya inabidi uanzishe uzi.
 
kwani imekuwa biashara? na sio huduma kama wanavyosema wao?
 
Hivi kuna chuo kina malazi ya kutosha kwa wanafunzi wote.

Hata kama hakuna chuo kinachojitosheleza, lakini kisiwe kigezo cha ku-create problem ambayo ilikuwa haipo kwa vile hakuna chuo kinachojitosheleza!
 
by the way walichokifanya sio poa as kuna wanafunzi walilipia vyumba kabla hawajaondoka and baada ya kufungua wana ambiwa hostel za chuo hamna na badala yake wanapelekwa malimbe ambako nauli ni kama 1600 kwa siku! it is not fair yani

Ukiacha mambo ya nauli, hata ile inconvinience so created kwa medical school student siyo healthy for the intended academic performance!
 
Back
Top Bottom