Culvin Mavuga: Football Performance Analyst for Simba SC

Timu haina first eleven,makosa ni yale yale poor pablo
 
Timu haina first eleven,makosa ni yale yale poor pablo
Kwani mchora ramani Mavunga akuichora ramani vizuri namna ya kukabiliana na Namungo pamoja na chirwa🤣🤣🤣🤣
 
Pablo na benchi lake ni takataka. Confirmed!
 
Leo imethibitika wachezaji wanavyocheza kama Ng'ombe yanakaba kwa macho,leo ni kwa sababu Ndala hawako makini wangeweza kutupiga hata 3
Wachezaji wetu wanakimbiakimbia tu kama Ng'ombe uwanjani,utafikiri hawana mwalimu poor Pablo
 
Leo imethibitika wachezaji wanavyocheza kama Ng'ombe yanakaba kwa macho,leo ni kwa sababu Ndala hawako makini wangeweza kutupiga hata 3
Tumewatunzia heshima tu lakini pale kwenu akuna kocha ni kituko kile
 
Hivi haya matatizo ya Simba kukosa Kiungo Mkabaji baada ya Lwanga kuumia huyu Mavuga halioni au yeye anaangalia wapinzani tu
 
Hivi haya matatizo ya Simba kukosa Kiungo Mkabaji baada ya Lwanga kuumia huyu Mavuga halioni au yeye anaangalia wapinzani tu
Yule anakula hela ya bure tu,hata kama anaona au haoni lakini tatizo bado lipo,viungo wakabaji soka la Africa wapo mamia kwa mamia sema wenye timu hawataki kuvuka kiwango chao cha pesa walichojiwekea kwenye usajili.
ndo maana Manzoki anakosekana kwa milioni 400 tu,wakati kuna timu huko caf tunakotaka kufika fainali wanasajili wacheza mpaka bilioni tano.sisi milioni 400 tu za kutatua tatizo la namba tisa tunaona choyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…