Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mchora ramani Mavunga akuichora ramani vizuri namna ya kukabiliana na Namungo pamoja na chirwa🤣🤣🤣🤣Timu haina first eleven,makosa ni yale yale poor pablo
Wachezaji wetu wanakimbiakimbia tu kama Ng'ombe uwanjani,utafikiri hawana mwalimu poor Pablo
Tumewatunzia heshima tu lakini pale kwenu akuna kocha ni kituko kileLeo imethibitika wachezaji wanavyocheza kama Ng'ombe yanakaba kwa macho,leo ni kwa sababu Ndala hawako makini wangeweza kutupiga hata 3
Yule anakula hela ya bure tu,hata kama anaona au haoni lakini tatizo bado lipo,viungo wakabaji soka la Africa wapo mamia kwa mamia sema wenye timu hawataki kuvuka kiwango chao cha pesa walichojiwekea kwenye usajili.Hivi haya matatizo ya Simba kukosa Kiungo Mkabaji baada ya Lwanga kuumia huyu Mavuga halioni au yeye anaangalia wapinzani tu