Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Mi ni pompom girl... :cheer2: :cheer2: :cheer2:
Hivi mpoleeeee alitajwa kule?
Naona hakutajwa. tulikua tunapiga kura za Mr and Mrs JFhehehe alitajwa wapi tena?
:shock:Ngoma droo, kura yangu imeharibika.
Tuwashindanishe kwa vigezo, labda nani anazindua wajukuu upesi...
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu zisizopimika,nasema hayo kwa sababu nyie mkishindanishwa na vijana na watu wazima wa JF mtakua mmeshinda tayari!!Sijaona kama wapo wakuwashindanisha na nyie!Hekima na busara zenu ni za hali ya juu!Plz spaidaman weka category ya hawa watu!Mtazamo wangu huu!
Yaani:Hivi hatuwezi kushindanisha tutoto kwa MMU na chit-chat kweli??
tukimaliza nafikiria kumshindanisha member mmoja anaitwa chamtumaviYaani:
Mpolee Vs Golden Mpoleee
Au Mpoleee Vs Jane_000
Hehehe...itakuwa vurugu tupu na thread itajaa bongofleva za kufa n'tu!
Hahahaha... Cha Mtu Dinvi siyo? Gabesh!tukimaliza nafikiria kumshindanisha member mmoja anaitwa chamtumavi
Hahahaha... kwenye Povu hapo labda utapata challenge toka kwa Bigirita, japokuwa ushindi ni wako asee.yeah, fellow tablet is on his own league... vipi kuhusu povu?? siwezi kabisa kupata gold aisee???
Hahahaha... kwenye Povu hapo labda utapata challenge toka kwa Bigirita, japokuwa ushindi ni wako asee.
Hahahahah.... mate umefanikiwa kuvunja mbavu zangu asee........that's what I am talking about.... naskia biggy yuko bize endulen anasukuma ndege imegoma kuwaka!!
View attachment 48544
Aise...Hahahahah.... mate umefanikiwa kuvunja mbavu zangu asee........
Ushindi wako utachagizwa na mapovu ya Biggy, lile lijamaa linatoa mipovu yakiambatana na mitusi balaa. Linachezea BAN sijawahi ona....