"Cum' on spaida",MMU babu of the year!!Aspirin v/s Dark city!!

"Cum' on spaida",MMU babu of the year!!Aspirin v/s Dark city!!

Ngoma droo, kura yangu imeharibika.
Tuwashindanishe kwa vigezo, labda nani anazindua wajukuu upesi...
 
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu zisizopimika,nasema hayo kwa sababu nyie mkishindanishwa na vijana na watu wazima wa JF mtakua mmeshinda tayari!!Sijaona kama wapo wakuwashindanisha na nyie!Hekima na busara zenu ni za hali ya juu!Plz spaidaman weka category ya hawa watu!Mtazamo wangu huu!

Hahahaha... aisee!

Mnanishindanisha na huyu gwiji? Yaani huyu ambaye ni monitor kwenye darasa letu la wazee?

Kura yangu inaangukia kwa babu mwenzangu Dark City.
 
Hivi hatuwezi kushindanisha tutoto kwa MMU na chit-chat kweli??
 
Hivi hatuwezi kushindanisha tutoto kwa MMU na chit-chat kweli??
Yaani:

Mpolee Vs Golden Mpoleee
Au Mpoleee Vs Jane_000

Hehehe...itakuwa vurugu tupu na thread itajaa bongofleva za kufa n'tu!
 
Yaani:

Mpolee Vs Golden Mpoleee
Au Mpoleee Vs Jane_000

Hehehe...itakuwa vurugu tupu na thread itajaa bongofleva za kufa n'tu!
tukimaliza nafikiria kumshindanisha member mmoja anaitwa chamtumavi
 
tukimaliza nafikiria kumshindanisha member mmoja anaitwa chamtumavi
Hahahaha... Cha Mtu Dinvi siyo? Gabesh!

Mi nadhani lingekuwepo shindani la kumtafuta comedian bora... Na hapa my fellow tablet klorokwini angepita bila kupingwa!

Au Bwabwa bora la JF.....
 
yeah, fellow tablet is on his own league... vipi kuhusu povu?? siwezi kabisa kupata gold aisee???
 
yeah, fellow tablet is on his own league... vipi kuhusu povu?? siwezi kabisa kupata gold aisee???
Hahahaha... kwenye Povu hapo labda utapata challenge toka kwa Bigirita, japokuwa ushindi ni wako asee.
 
Ninatamani sana huu mchuano ungekuwepo.Shilingi ingesimama hapa!
 
that's what I am talking about.... naskia biggy yuko bize endulen anasukuma ndege imegoma kuwaka!!
View attachment 48544
Hahahahah.... mate umefanikiwa kuvunja mbavu zangu asee........

Ushindi wako utachagizwa na mapovu ya Biggy, lile lijamaa linatoa mipovu yakiambatana na mitusi balaa. Linachezea BAN sijawahi ona....
 
Hahahahah.... mate umefanikiwa kuvunja mbavu zangu asee........

Ushindi wako utachagizwa na mapovu ya Biggy, lile lijamaa linatoa mipovu yakiambatana na mitusi balaa. Linachezea BAN sijawahi ona....
Aise...
 
Hapo bora nisipige kura maana wote nawakubali kwa sana tu tena kwa viwango sawa.
 
bora hii category haipo aisee
sijui ningefanyaje??
 
Back
Top Bottom