masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mzigo ya kawaida kunabiashara ya Ganda piaTulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea.
Watendaji wizara husika msaidieni Rais ....
Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Hili ni tatizo kubwa.Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Mfumo unaenda kufa ule wa zamaniHili ni tatizo kubwa.
Yaani mzigo toka nchi za watu, unatumia siku chache kufika nchini, ila kituko ni pale unatumika muda mwingi zaidi kupata release order ya mzigo wako hapa nchini.
Kwa mfano kulikua Kuna. Express meli za December direct kutoka china mpaka port yetu....Hili ni tatizo kubwa.
Yaani mzigo toka nchi za watu, unatumia siku chache kufika nchini, ila kituko ni pale unatumika muda mwingi zaidi kupata release order ya mzigo wako hapa nchini.
Sijaelewa hii coment yako kiongoziSiyo mzigo ya kawaida kunabiashara ya Ganda pia
Mizigo ya sukari trust me binmichache maana tayari walishaweka kodi ya 100% ku discourage ununuaji WA sukari nje.... Coz ndani inazalishwa.... Japo Sina uzoefu sana na hiko kipengele.... Lakini unataka kuniambia meli zooote hizo tangu mwezi WA 11 Zina sukari??Mfumo unaenda kufa ule wa zamani
....Mifumo ya clearance ndio inazingua ukizingatia clearing and forwarding agents ni private ... Halafu inspection pale mara TBS ,GCLA ,TAEC ,SUGAR BOARD ,watu wa madini mtu apate vibali ndio apate mzigo ,inategemea na mzigo kama sukari lazima watu wa mionyi na badi ya sukari upate vibali..
Hata sielewi walahi...... Aisee ni jangaDP World wanaanza kufanya kazi lini ?
Kabisa...... Ilibidi waziri WA uchukuzi akaweke kambi pale....Kila siku Rais asaidiwe duh
Majahazi Kwa kweli maana kama yalikua yanatumia 4 months kutoka arabuni huko na hizo mel zinavyokaa hapo bandarini ni sawa kabisa mdaLaiti Bagamoyo ingejengwa zamani
Ila waswahili tunapenda kujivuta
Unaongelea jambo leo unafanikisha baada ya miaka 20 wakati hela zinafikia mara 4 ya bajeti ya mwanzo
Poleni sana bora muendelee na majahazi tu
Dah ni huzuni.... Yaani ni huzuniSasa huyo mwenye mzigo ambao alitegemea auuze dec mwaka jana lakini mpaka january hii haujatoka bandarini watamsaidiaje?
Si mtihani huu!