Current situation at the port of Dar es Salaam heavy traffick of vessels

Mizigo ya sukari trust me binmichache maana tayari walishaweka kodi ya 100% ku discourage ununuaji WA sukari nje.... Coz ndani inazalishwa.... Japo Sina uzoefu sana na hiko kipengele.... Lakini unataka kuniambia meli zooote hizo tangu mwezi WA 11 Zina sukari??
Hii Ngoma tumeanza imba nayo since Nov/december
Sina maana hiyo nimetoa mfano tu ,hapo hata za sukari sidhani kama zipo.
 
Hiyo DP world tuliyoambiwa iko wapi.... au bado hawajakabidhiwa site??.... maana yote haya tuliambiwa yataisha..
 
Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea.
Watendaji wizara husika msaidieni Rais ....
Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Hii nchi tusipokuwa serious siasa itatumaliza. Hicho kijamaa walichokiweka hapo bandarn kila saa kinatoa majibu ya siasa kwenye serious issues ni janga. Mi nina container 9 na kuna meli zimefika tangu tarehe 14 mwez wa 12 mpaka leo wala cjui itatoka lin. Mi cjui hii nchi inaelekea wapi aisee. Ninani anafaidika na huu uzembe au ninani anatuhujum kama nchi. Ni kitu gan sasa wanaweza kufanya kwa ufanisi. Ndio maana pamoja na kuchukua hela zangu bado nilimkubali Magufuli. R.I.P mwanakwetu.
 
Dah pole sana.... Hapo kwenye kontena 9 naamini Kuna mizigo ilitakiwa kuuzwa December SIKUKUU na January shule ..
Pole sana
Mi ni WA loose cargo lakini nawaza sana....
A whole container??
Achilia mbali 9.... Aisee na humo najua ni mizigo ya wateja.... Aisee mbona hili swAla haliishi since November.... Au Kuna maksudi flani kuzua taharuki hapo bandarini
 
Hiyo DP world tuliyoambiwa iko wapi.... au bado hawajakabidhiwa site??.... maana yote haya tuliambiwa yataisha..
Wanaotufanyia clearence wanadai Bado...
Wako kwenye transition period sijui.....
Maana ni kwikwi
 
Port congestion hapo Dar port ni tatizo sugu la muda mrefu mno...
 
Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea.
Watendaji wizara husika msaidieni Rais ....
Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Mzigo wangu ulifika bandarini 2 devember 2023 nikaja ambiwa uko tayari kuchukuliwa baada ya mwezi mmoja badae.
 
Back
Top Bottom