Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Sina maana hiyo nimetoa mfano tu ,hapo hata za sukari sidhani kama zipo.Mizigo ya sukari trust me binmichache maana tayari walishaweka kodi ya 100% ku discourage ununuaji WA sukari nje.... Coz ndani inazalishwa.... Japo Sina uzoefu sana na hiko kipengele.... Lakini unataka kuniambia meli zooote hizo tangu mwezi WA 11 Zina sukari??
Hii Ngoma tumeanza imba nayo since Nov/december
[emoji1] kama alileta miti ya Xmas imekula kwake [emoji1]Sasa huyo mwenye mzigo ambao alitegemea auuze dec mwaka jana lakini mpaka january hii haujatoka bandarini watamsaidiaje?
Si mtihani huu!
Mtanzania pale hata awekewe gati 100,shida itakuwepo tuTuna gati chache za kushusha container, hii inasababisha foleni kwenye kuhudumia meli
Sure .... Hivi tatizo ni nini surely?Sina maana hiyo nimetoa mfano tu ,hapo hata za sukari sidhani kama zipo.
Hii nchi tusipokuwa serious siasa itatumaliza. Hicho kijamaa walichokiweka hapo bandarn kila saa kinatoa majibu ya siasa kwenye serious issues ni janga. Mi nina container 9 na kuna meli zimefika tangu tarehe 14 mwez wa 12 mpaka leo wala cjui itatoka lin. Mi cjui hii nchi inaelekea wapi aisee. Ninani anafaidika na huu uzembe au ninani anatuhujum kama nchi. Ni kitu gan sasa wanaweza kufanya kwa ufanisi. Ndio maana pamoja na kuchukua hela zangu bado nilimkubali Magufuli. R.I.P mwanakwetu.Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea.
Watendaji wizara husika msaidieni Rais ....
Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Dah pole sana.... Hapo kwenye kontena 9 naamini Kuna mizigo ilitakiwa kuuzwa December SIKUKUU na January shule ..Hii nchi tusipokuwa serious siasa itatumaliza. Hicho kijamaa walichokiweka hapo bandarn kila saa kinatoa majibu ya siasa kwenye serious issues ni janga. Mi nina container 9 na kuna meli zimefika tangu tarehe 14 mwez wa 12 mpaka leo wala cjui itatoka lin. Mi cjui hii nchi inaelekea wapi aisee. Ninani anafaidika na huu uzembe au ninani anatuhujum kama nchi. Ni kitu gan sasa wanaweza kufanya kwa ufanisi. Ndio maana pamoja na kuchukua hela zangu bado nilimkubali Magufuli. R.I.P mwanakwetu.
Wanaotufanyia clearence wanadai Bado...Hiyo DP world tuliyoambiwa iko wapi.... au bado hawajakabidhiwa site??.... maana yote haya tuliambiwa yataisha..
Mzigo wangu ulifika bandarini 2 devember 2023 nikaja ambiwa uko tayari kuchukuliwa baada ya mwezi mmoja badae.Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea.
Watendaji wizara husika msaidieni Rais ....
Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
Watu wengine kama wateja ukiwaambia hawaaminiMzigo wangu ulifika bandarini 2 devember 2023 nikaja ambiwa uko tayari kuchukuliwa baada ya mwezi mmoja badae.
This time naona kama limekithiriPort congestion hapo Dar port ni tatizo sugu la muda mrefu mno...