Current situation:Nani kamkalisha mwenzake kati ya lunya na country boy

Current situation:Nani kamkalisha mwenzake kati ya lunya na country boy

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
since nimesaini sony music sasa hivi mitaani nimekua ankwepekabo thing

driving big cars big nyashi big chains na ndoto zmekua ankwepokabo dreams

riski allhamdulilaih

kila chuma kikitoka ni chamoto nakua tingi tapo tingi (..oh My!!..)

ndo maana hizi nasty balls ziko nane ila ukisikia kwa mapepe unaweza sema ni 16
usiniguse me wa moto nina mkwanja nina mkoko

sikuizi naishi maisha yote nilio yaota kwenye ndoto

alaf natokea viena nakuja loco

big convoi kwa mama mandigo street napitia kimoko (..shyushyu..)

nafly na siitaji hata passport

sound zote ni kinanda fuc** scascoch

tena bado I'm hungry cashboss

wakibana tunakomaa na westcost

alaf kuna kitu hamjui (..aanhhh..)

sikuizi haya mambo ya kwenda ulaya hayasumbui (..aanhhh..)

kweli God pesa inaongezeka haipungui (..aanhhh..)

big boy shida ndogo ndogo hazisumbui

Yeeeeh!!! niule wakati wa mitikasi kila kitu ni presidential kizimkazi (..Weweeee..)

kila wakati mipila pasi na kila shuka nikishuka huwa n mkasi

Mmmh kila wakati si huku ni party sikuizi watoto ni Africast hamnipati

ukisnichi kwenye game unaekwa mtu kati sikuiz naenda kama mirror nicheki msafi (uuuh)

Kwa mimi naona hapo lunya katisha kwenye hio trap. Ila country na yeye ana sauti fulani ya kinyamwez sana ila kura Kwa mbuzi hapo
 
Back
Top Bottom