Current weather in Makete tubanane tu hapa mjini

Current weather in Makete tubanane tu hapa mjini

Kwenye baridi ni Bora sana kuliko sehemu za joto, kwanza sehemu za joto wadudu ni wengi sana.
Sikuwajua kunguni kabla ya kuondoka Southern highlands,,aisee duniani Kuna viumbe.
Siku moja nitarudi home nikaishi huko.
 
Una experience yoyote ya kuishi sehemu yenye baridi? Kazini ama shuleni utaenda na moto usiku utalala na moto angalau joto unaweza lala na boxer usijifunike shuka
Ndiyo. nimeishi Nchi kadhaa zenye baridi na Babu yangu alikuwa mwanajeshi,amefanya kazi kwenye baridi na kwenye Joto.Chance ya kusurvive kwenye baridi ni kubwa kuliko joto.
 
Hiyo ni fursa kwa kilimo cha apple šŸŽ.
Wenyeji hebu tupeni mwongozo.

Sio lazima tununue toka SA kama kuna maeneo hapa nchini ambayo yanastahimili hilo zao.
 
Kwa makete mbona hio 7 ni joto. Nhoma huwa ina drop mpaka zero. Na mara nyingi inakua around 3.

Snow inaangukaga kama uko Helsinki - Finland
 
Back
Top Bottom