Customer care Exim Bank ni mfano mzuri wa kuigwa...

elfu hamsin zim dollar unapata kwenye ATM

Bongo wanatoa noti za kibongo tu kwenye ATM. All the foreign currency talk should be prefaced with that.

I bet you, you can get a million Zims Dollar's equivalent.

Maybe even a billion.

And I am not even a betting man!
 
Nafurahi kukuongezea siku kwa kucheka.
Mi naona siku hizi thamani ya mtu pesa ndugu yangu.
Litaheshimiwa liuza unga wewe mwenye kazi ya halali isiyo na kipato atakudhamini nani.
Si unasikia watu wanasema heshima pesa shikamoo makelele.
 
Kweli mkuu mabank mengi yaende kujifunza kwao hata kama unaweka buku 2 kwao wewe ni mteja mhimu.

umeona eeeh.
Raha sana wahudumu wakikuthamini hata kama mtu ni mlalahoi kama mimi unajisikia wa thamani.
 

Mkuu Ngalangala pole kwa usumbufu ila mi naona hapa wee ndio mwenye kosa.
Kwanini uogope kwenda police wakupe hayo maelezo kama unajijua uko safi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…