"Customer care" ni pamoja na namna watoa huduma wanavyowasiliana

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Watu wengi hudhani Kujali mteja ni kumuhudumia anachohitaji na kuzungumza nae kwa staha peke yake.

Kwa hizi biashara za kutoa huduma na uuzaji bidhaa kama biashara ya Bar, migahawa n.k unaweza kuta wahudumu wana lugha mbaya kati yao yaani wakidhani kwa kuwa hajazungumza na mteja hatomkwaza.

Wateja tunaona kumbe lugha wanayozungumza nasi si haiba yao, hii haileti picha ya huduma nzuri.

DukuDuku. [emoji41]
 
Pamoja na huduma za vyoo visafi, kuegesha magari wenye mpangilio unaoeleweka, muda mfupi wa kupewa huduma n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…