Customer Privacy: JF itaheshimika daima Vs tiGO Tanzania

Customer Privacy: JF itaheshimika daima Vs tiGO Tanzania

ukifuatilia vizuri hakuna kampuni yenye kuhusishwa na jina baya zaidi kama hawa jamaa.

"jina la kampuni na sehemu ya kutolea kinyesi"
 
Sizungumzii ukubwa wa kipato, wala silinganishi wingi wa wateja, nazungumzia suala la kulinda Privacy ya Mteja wako!

JamiiForums kwa kupitia Mkurugenzi wake Maxence Melo walikua tayari kufungwa jela na alishawekwa mahabusu ila SIO kutii AGIZO fake na kutoa taarifa za Wateja wake.

Tigo Tanzania wameshindwa na wamekiri kuwa hio sio priority kwao! Kwa hili napenda kuipongeza sana sana Jamii Forums.

Uligoma kuuza utu na heshima ya mtandao huu, kwahili Mungu akubariki sana sana.

Natamani uweke link ya ile kesi na hukumu yake hapa ili ikawe ukumbusho kwa vizazi vijavyo kuwa tuliwahi kupitishwa kwenye valley of shadow of death but you guys never gave up!

Kongole kwenu aibu kwa Tigo

View attachment 1998148
Tigo wanatisha, tena wanasema bila kificho, kulinda usiri wa Mteja sio priority yao. Basi wangeonesha hata kujali kidogo, walao kwa kutaka kibali cha mahakama, japo nazo ni wale wale.
 
Back
Top Bottom