Customer response yenu ilandane na vibe la promotion zenu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Yani unakuta mtu akiwa anatangaza biashara yake ana ongea kwa uchangamfu hadi anapepesekua na kuwaomba wateja wamchangie.

Ila sasa ikifika wakati wa kumtafuta huyo either kumpigia simu au face to face, unakuta mtu anaongea utafikiri amewekea matapu tapu mdomoni.

Wala hakuchangamkii na kukuelezea kwa undani kama alivyokuwa akifoka foka wakati ana promote biashara yake.

Jifunzeni.
 

Na wengine hata simu hawapokei wala msg hawajibu….Utadhani walilazimishwa kutangaza bidhaa na huduma zao wati wao hawapo tayari…Wapuuzi sana!
 
Na wengine hata simu hawapokei wala msg hawajibu….Utadhani walilazimishwa kutangaza bidhaa na huduma zao wati wao hawapo tayari…Wapuuzi sana!
Mbongo akishapata pesa ya kodi ya nyumba tu anajiona ni matawi sanaaa
 
Nyuzi Kama hizi na zingine muhimu zimekosa wachangiaji
Sikuhizi vijana wapo interested na mambo ya kipuuzi sana
 
Piga *149*46*30# kwenda vodacom,tigo na airtel bure kuagiza bidhaa kutoka dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania.

Hutajutia huduma zetu boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…