Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani unakuta mtu akiwa anatangaza biashara yake ana ongea kwa uchangamfu hadi anapepesekua na kuwaomba wateja wamchangie.
Ila sasa ikifika wakati wa kumtafuta huyo either kumpigia simu au face to face, unakuta mtu anaongea utafikiri amewekea matapu tapu mdomoni.
Wala hakuchangamkii na kukuelezea kwa undani kama alivyokuwa akifoka foka wakati ana promote biashara yake.
Jifunzeni.