Customer service kwenye ofisi nyingi ni mbovu. Changamoto huwa ni nini?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki.

Sijui ni msongo,

Sijui ni mazoea,

Sijui ni tabia yetu ya kuchukuliana poa,

Sijui wanalipwa maslahi madogo,

Anyway life's tough.
 
Mkuu mkoa gani naweza kwenda nikaanza maisha ya kawaida tu.

An naamka asubuhi nachemaha miogo nakula huku kuna chai ya mchai chai... Nikimaliza kula naenda shambani nalima lima karanga kidogo.

Mchana napika ugali wangu na mboga za majani na dagaa. Nikimaliza hapo nalala kidogo chini ya mwembe.

Inafika jioni jioni nashika simu yangu nakua naskiliza kipindi changu cha boda tu boda.

Inafika usiku nakula wali wangu wa nazi na samaki. Huku namaliza kula nalala ila kabla ya kulala nafungia kuku wangu ndani alafu nalala.

Kesho tena ratiba hivo hvo mkuu

Ni kijiji gani hko mkuu
 
Naomba uweke huu wimbo, una asili ya kurelax akili alafu andika haya yafuatayo nitakayokuambia

View: https://youtu.be/kCNZ1maJUks?si=b9j_9Fx1H4Kw3VsX

Okey kwa hadhi ya comment yako, unahitaji sehemu zilizo nafuu kimaisha lakini zilizo na rutuba, maana sehemu ikisha kuwa na rutuba ni rahisi upatikanaji wa chakula chako na cha kuku wako hao

Lakini pia unahitaji sehemu ambayo itaendana na haja yako ya kutokuwa na tempered na hali yako ya kawaida basi nenda maeneo haya matano, yana rutuba, yanafaa kwa ajili ya mifugo lakini pia yana potential ya kukua, ni maeneo pia utapata ardhi kwa bei nzuri.

1: tarime, mara (usiende nyamongo)

2: Mpanda, rukwa

3: masasi
 
Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki.

Sijui ni msongo,

Sijui ni mazoea,

Sijui ni tabia yetu ya kuchukuliana poa,

Sijui wanalipwa maslahi madogo,

Anyway life's tough.
Mfano Mimi napenda kazi yangu sana sanaa 😊

Watu wengi hupenda niwahudumie Mimi..

Mfano una Kuta mtu mshahara ni mdogo, anadaiwa mikopo kama yote, Kodi, umeme, maji, hapo hapo ada za watoto, stress za familia

Lazima awe na huduma mbovu..mfano tule kondakta ""MUHASIBU WA DALADALA"" jamaa ni kondakta lakini ana ona fahari na kazi yakeee.

Unakuta mtu Roho mbaya..majibu ya kunya, poor communication skills
 
Hakika💯💯
 
Mkuu mkoa gani naweza kwenda nikaanza maisha ya kawaida tu.

An naamka asubuhi nachemaha miogo nakula huku kuna chai ya mchai chai... Nikimaliza kula naenda shambani nalima lima karanga kidogo.

Mchana napika ugali wangu na mboga za majani na dagaa. Nikimaliza hapo nalala kidogo chini ya mwembe.

Inafika jioni jioni nashika simu yangu nakua naskiliza kipindi changu cha boda tu boda.

Inafika usiku nakula wali wangu wa nazi na samaki. Huku namaliza kula nalala ila kabla ya kulala nafungia kuku wangu ndani alafu nalala.

Kesho tena ratiba hivo hvo mkuu

Ni kijiji gani hko mkuu
Mishangazi watu wabaya sana, sijui kimekukuta nini ndugu.
 
Watoa huduma wanadhani kwamba mteja ndio ana shida na wao, bila kujua wao bila huyo mteja hawana kazi.
Kuna issue ya cheap Labor ni shida sana, ukiangalia taasisi zinazolipa vizuri utaona huduma zao nzuri sana .
 
1. Cheap labour
2. Overworking
3. Hakuna propper training & development
4. Poor culture, - Hapa unakuta boss kutwa kutukana wafanyakazi wake, Sasa kwann wafanyakazi wasitukane wateja?
5. Uswahili wa wabongo.

Mm ndo maana nikipata poor service kwenye office hua sihangaiki, kama naweza kuhama office nahama tu, maana kuna mengi nyuma ya haya
 
Back
Top Bottom