Naomba uweke huu wimbo, una asili ya kurelax akili alafu andika haya yafuatayo nitakayokuambiaMkuu mkoa gani naweza kwenda nikaanza maisha ya kawaida tu.
An naamka asubuhi nachemaha miogo nakula huku kuna chai ya mchai chai... Nikimaliza kula naenda shambani nalima lima karanga kidogo.
Mchana napika ugali wangu na mboga za majani na dagaa. Nikimaliza hapo nalala kidogo chini ya mwembe.
Inafika jioni jioni nashika simu yangu nakua naskiliza kipindi changu cha boda tu boda.
Inafika usiku nakula wali wangu wa nazi na samaki. Huku namaliza kula nalala ila kabla ya kulala nafungia kuku wangu ndani alafu nalala.
Kesho tena ratiba hivo hvo mkuu
Ni kijiji gani hko mkuu
Mfano Mimi napenda kazi yangu sana sanaa 😊Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki.
Sijui ni msongo,
Sijui ni mazoea,
Sijui ni tabia yetu ya kuchukuliana poa,
Sijui wanalipwa maslahi madogo,
Anyway life's tough.
Hakika💯💯Mfano Mimi napenda kazi yangu sana sanaa 😊
Watu wengi hupenda niwahudumie Mimi..
Mfano una Kuta mtu mshahara ni mdogo, anadaiwa mikopo kama yote, Kodi, umeme, maji, hapo hapo ada za watoto, stress za familia
Lazima awe na huduma mbovu..mfano tule kondakta ""MUHASIBU WA DALADALA"" jamaa ni kondakta lakini ana ona fahari na kazi yakeee.
Unakuta mtu Roho mbaya..majibu ya kunya, poor communication skills
Mishangazi watu wabaya sana, sijui kimekukuta nini ndugu.Mkuu mkoa gani naweza kwenda nikaanza maisha ya kawaida tu.