Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Kichwa cha mjadala huu na kihusike -
huduma ya wafanyakazi wa fast jet hasa hasa sehemu ya check in inavunja rekodi ya huduma mbaya zote nilizowahi kuziona kwenye airline services pahala popote - ukosefu wa lugha nzuri kwa wateja, utaratibu usioeleweka wa kupima, kulipia na kucheck - in mizigo, ukosefu wa professionalism - ukiweka haya mambo yote pamoja unaweza kupata hasira -
Kimsingi ni vigumu sana kuanza biashara na kuweza kutoa kipaumbele kwenye masuala yote muhimu ya kuwezesha kufanikiwa kwake (sustainability) kwa mara moja - lakini it is high time mtu aone hili jambo na alifanyie kazi maana bila hivyo hii biashara inaelekea kupoteza kwa upande huu -
Asikiaye na afahamu.