Customer service ya fast jet inahitaji maboresho ya haraka

Customer service ya fast jet inahitaji maboresho ya haraka

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Posts
1,948
Reaction score
1,238
Kichwa cha mjadala huu na kihusike -

huduma ya wafanyakazi wa fast jet hasa hasa sehemu ya check in inavunja rekodi ya huduma mbaya zote nilizowahi kuziona kwenye airline services pahala popote - ukosefu wa lugha nzuri kwa wateja, utaratibu usioeleweka wa kupima, kulipia na kucheck - in mizigo, ukosefu wa professionalism - ukiweka haya mambo yote pamoja unaweza kupata hasira -

Kimsingi ni vigumu sana kuanza biashara na kuweza kutoa kipaumbele kwenye masuala yote muhimu ya kuwezesha kufanikiwa kwake (sustainability) kwa mara moja - lakini it is high time mtu aone hili jambo na alifanyie kazi maana bila hivyo hii biashara inaelekea kupoteza kwa upande huu -

Asikiaye na afahamu.
 
Ulichosema ni kweli! Upande wa check-in pale fast jet ni tatizo. Gharama za mizigo haziko wazi! Wahudumu wake utafikiri hawalipwi mishahara wanafanya dayworker!
 
Ulichosema ni kweli! Upande wa check-in pale fast jet ni tatizo. Gharama za mizigo haziko wazi! Wahudumu wake utafikiri hawalipwi mishahara wanafanya dayworker!

Kabisa mkuu - Its time watu wenye kupenda ustaarabu watarudi Precision tu - plus ukiwa na mzigo wa ziada unalipiwa TZS. 9,000/= kwa kilo - kwa begi la kawaida la kilo 20 hiyo ni TZS 180,000/= ambayo ni equivalent na nauli ya abiria mmoja Precision.
 
Back
Top Bottom