Teh teh teh! Ni sawa na jamaa aliyempa lifti ya mwamvuli msichana wakati wa mvua
na kuanza kumwaga sera zake huku msichana akiwa mkimya. Jamaa alipozidisha
mashambulizi binti akamwambia asubiri kwanza mvua ikatike ndipo atampa jibu...
Ha ha ha haaaaaaaa!!!!!!
hahahahahaha!!!Dogo hapendi kuongea uwongo,kalazimishwa tu.