Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kishabiki, na si kwa kutaka kujua..Hivi ni kweli ni engineer?
Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia?
Huko GSM alifanya kazi gani?
Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu.
Huu uinjinia isije kuwa alipewa na wahuni tu kutokana na uhuni anaofanikisha kuufanya
Hayo mambo ya CV na vyeti yalisha ktk dunia hii ya ubepari na biasharaHivi ni kweli ni engineer?
Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia?
Huko GSM alifanya kazi gani?
Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu.
Huu uinjinia isije kuwa alipewa na wahuni tu kutokana na uhuni anaofanikisha kuufanya
Mkuu haujamjibu mleta mada.Kila siku humu mnalalamika mnatemwa kwenye interview tatizo mnajibu msichoulizwa kisa ujuaji.Hayo mambo ya CV na vyeti yalisha ktk dunia hii ya ubepari na biashara
Unaweza kuwa una degree,masters etc but unamtegemea wa darasa la. 2
Mbona unamchunguza sana amekuchumbia anataka kukuoa?Hivi ni kweli ni engineer?
Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia?
Huko GSM alifanya kazi gani?
Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu.
Huu uinjinia isije kuwa alipewa na wahuni tu kutokana na uhuni anaofanikisha kuufanya
Wacha weeFundi mchundo huyo,hiyo Engineer ni kujikosha tu kwa wasiomjua