Nyie wasomi, tatizo lenu ni hilo. CV ya nini, kama mtu anafanya kazi inayoridhisha inatosha. Ukienda mitaani walalahoi wanalalamika kuwa wasomi ndio walioifikisha nchi hii kwenye umaskini. Ndio wezi wakubwa. mafisadi wa CCM wote ni wasomi. Hivyo usomi katika kuongoza nchi siyo ishu kubwa, ni uadilifu wa mtu. Tukija kwenye theatre ya kupasua moyo, hapo tuongee CV, sio kwenye mambo ya hekima kama uongozi (ingawa kusoma kunaweza kuwa added advantage!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!) Najua mtanishambulia, kazi kwenu.