Habari ndugu zangu, naomba mwenye CV ya Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Hessein Katanga, atupatie. Sisi kama wananchi tunahitaji kumfahamu vizuri Kiongozi wetu huyu
Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012. Uteuzi wa Bwana Kattanga ni sehemu ya utekelezaji wa Muundo Mpya wa Mahakama, na utekelezaji wa Sheria ya...