CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

Kocha aje na strikers. Hii timu itaniua mwaka huu πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Soma kijana achana na ndumba.
Yaani kocha kaaminiwa na Real Madrid kuwa assistant coach, chini ya Zidane,
Wewe kutoka kwa mparange unakuja kuketa hoja za kindezi.

Ondoa ujinga dogo. Achana na mambo ya kutegemea uchawi.
Mpira haujui nimeshakukumbuka kuna uzi ulinithibitishia kuwa ni mfuatiliaji mzuri wa rede kuliko mpira.
 
Mpira haujui nimeshakukumbuka kuna uzi ulinithibitishia kuwa ni mfuatiliaji mzuri wa rede kuliko mpira.
Yani wewe kwa akili zako za Mabwe pande unawazidi Real Madrid kumuweka Pablo kuwa Assistant Coach.

Nakushauri punguza kwenda kwa waganga wa kienyeji wekeza kwenye professionalism.
 
Haahhaha huyu kocha timu yake itakanyaga pitch za Bongo? Atashangaa sana hivi viwanja

Tumechelewa sana
Aliingia Youtube akaona game za kwa mkapa akazani viwanja vyote viko ivo.
 
Yani wewe kwa akili zako za Mabwe pande unawazidi Real Madrid kumuweka Pablo kuwa Assistant Coach.

Nakushauri punguza kwenda kwa waganga wa kienyeji wekeza kwenye professionalism.
Kama unaona Real Madrid kumteua kuwa Assistant coach ni kitendo kinachowafanya uone Madrid wapo smart sana vipi kitendo cha hao hao Madrid kumfukuza huyo kocha ndani ya miezi mitatu isikufanye uoji pia juu ya kufeli kwake Madrid? Au unafikiri kakaa Madrid misimu miwili?
Ndio maana nakwambia haujui mpira wewe
 
Soma kijana achana na ndumba.
Yaani kocha kaaminiwa na Real Madrid kuwa assistant coach, chini ya Zidane,
Wewe kutoka kwa mparange unakuja kuketa hoja za kindezi.

Ondoa ujinga dogo. Achana na mambo ya kutegemea uchawi.
Alidumu miezi 2 tu.
 
Kumbuka tangu msimu wa 2021/2022 uanze Simba haijafungwa hata goli moja
Hatuko kwenye mpira wa aggregate bali tuko kwenye point tatu muhimu. Wewe cheza michezo minne toka sare ya bila kufungana lakini anayecheza michezo hiyo hiyo minne na akashinda yote kwa kuruhusu goli atakuwa kakuacha point nane. Endelea kujitapa kutoruhusu goli wakati wenzio wanapambania point tatu muhimu haijalishi karuhu goli au lah
 
Hapo ujue marekebisho yanayohitajika ni madogo ili kuweka timu kwenye nafasi ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…