Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #61
Mchambuzi kutoka mchambawima ZanzibarHatuko kwenye mpira wa aggregate bali tuko kwenye point tatu muhimu. Wewe cheza michezo minne toka sare ya bila kufungana lakini anayecheza michezo hiyo hiyo minne na akashinda yote kwa kuruhusu goli atakuwa kakuacha point nane. Endelea kujitapa kutoruhusu goli wakati wenzio wanapambania point tatu muhimu haijalishi karuhu goli au lah