CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

Hatuko kwenye mpira wa aggregate bali tuko kwenye point tatu muhimu. Wewe cheza michezo minne toka sare ya bila kufungana lakini anayecheza michezo hiyo hiyo minne na akashinda yote kwa kuruhusu goli atakuwa kakuacha point nane. Endelea kujitapa kutoruhusu goli wakati wenzio wanapambania point tatu muhimu haijalishi karuhu goli au lah
Mchambuzi kutoka mchambawima Zanzibar
 
20211106224622.jpg

Kocha tayari amewasili ktk majukumu yake mapya
 
Na kwa taarifa za ndani ndani ni kwamba...

SIMBA WAKO KWENYE MAWINDO MAZITO YA STRIKERS KWENYE MSIMU WA DIRISHA DOGO
 
Kuna mashabiki wa timu flani wanahaha sana sijui kwa nini??
 
Naona simba wameamua walete mwenye vyeti vizito sana.

Hivi yule Nabi anasemaje?

Simba wapo kimkakati sana,wao wanamuona kocha tu,kumbe ni moja ya mbinu kuiweka simba level za juu pia.
 
Back
Top Bottom