Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono mkuu, maagizo yanayotoka nakutekelezwa wakati yakikiuka hata wajibu wa jeshi la polis bila hata kutafakariwa !! kunatulazimisha tujua CV ya anaewaongoza.
😎ngoja watakuja wasaidizi wake
Nina mashaka cv yake kupatikana
Haya bhanaIGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :
Kutoka mwama 1959-1981 kuna miaka 22,kwahiyo hiyo miaka 22 ilikuwa kusoma shule ya msingi na secondary?
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Akiwa Ana elimu ya form 4 au form 6?
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Ana degree?
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
IGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
Hiyo ni miaka 22 kwahiyo alikuwa ameishia form 4 au form 5 hapo?
By :
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Alikuwa na cheti cha form 4 au six?
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
Ambae anayo link tunaomba link ya tovuti ya hiyo UNIVERSITY OF SECURITY OF AMERICA.Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
IGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
IGP mteule Ernest Jumbe Mangu alizaliwa mwaka 1959 mkoani Singida na alipata elimu ya Sekondari katika Shule ya Tumaini mwaka 1981.
By :
Alijiunga na Jeshi la Polisi katika Chuo cha Polisi Moshi (CCP) tarehe 17 mwezi Agosti mwaka 1982 na kuhitimu mwezi Juni mwaka 1983 ambapo alipata mafunzo ya awali ya Polisi.
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Akiwa ndani ya Jeshi la Polisi amepandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Koplo wa Polisi (1988), Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (1992), Mkaguzi wa Polisi (1995), Mrakibu Msaidizi wa Polisi (1997), Mrakibu wa Polisi (2002), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (2004), Kamishna Msaidizi wa Polisi (2006), Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi (2010), Naibu Kamishna wa Polisi (2013) na Kamishna wa Polisi (2013).
Amewahi kufanya kazi kama Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mwanza, Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Pwani na Mwanza na Kamishna wa Intelijensia ya Jinai.
Umesema amezaliwa mwaka 1959 na alipata elimu ya secondary 1981 kutokana na maelezo yako,hiyo ni miaka 22,kwahiyo hapo kati 1959-1981 kasoma primary na o- level au kuna form six?
Hebu In short niambie mkuu wetu wa jeshi la polisi Tanzania nzima amehitimu elimu ya form six?,and degree?
Kwa zamani hata 30 yrs aliweza kuanza darasa la kwa hata leo hii elimu ya watu wazima ipo na wanafikia level ya degree mpk phd me nafikiri kikubwa ni hapa
Mwaka 1987 alipata mafunzo ya sheria kwa ngazi ya cheti katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwezi Novemba mwaka 1992 alitunukiwa shahada ya kwanza ya sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Mwezi Juni mwaka 2010, alitunukiwa shahada ya udhamili katika masuala ya usalama katika Chuo Kikuu Cha Usalama cha Marekani.
Police kupiga wafuasi wa cuf sio Igp pengine ni miscommunication baina ya jeshi la polisi na Prof Lipumba na kutofika muafaka kwa mujibu wa clip iliyorushwa