CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)


My take

Chadema mmekura garasha
sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer


Pum.bavu wee! elimu sio vyeti, hivi mtu aliyepewa tuzo hadi na BBC kwa utunzi bora ni mtu mwenye elimu ndogo? Uwezo wa kufikiri wa Prof. J ni mara 100 ya uwezo wa Steven Wassira.....hata chizi wenu Mwigulu hamfikii Prof. J. Na wewe uliyeleta huu uzi ndio kabisaaa. Tofauti yako na Prof. J. ni sawa na kumfananisha Lusinde mbunge wa Mtera na Barack Obama Raisi wa Marekani. Ta.ahi.ra mkubwa wee!
 
Kwakweli hata jina la profesa halimfai tena Kumbe ameishia darasa la nne khaaaaaaA

Kwani U-Profesa wake si ulitokana na juhudi zake? Wewe usipomuita ni utovu wako wa nidhamu lakini jamaa kwenye gemu anakubalika. Huyu ni prof J wa Mitulinga.

Jambo la msingi kwa wa-Tanzania wote ni kuwa utendaji kazi bora hautokani na elimu yako. Hebu angalia cabinet ya JK ilivyo na ma-Profesa wengi kuliko wote Afrika lakini NDIYO WABAYA ZAIDI AFRIKA NZIMA
 

sasa mbona unatoka kamasi
hivi dalasa la nne uneweza kujua kutumia komputer au kuandika?
 
Haya maelezo kwako ni CV?! hapa umetia aibu maana imeonyesha wazi unasujudia elimu ambayo hata uelewi maana yake ni nini?! Kwa hiyo kwako mtu akijua kutumia kompyuta unampa hata mkeo kwa kuwa ana elimu.Unreasonable Stup*d.
 
we mpumbavu kweli kwani Anord Schwarzenegger alikuwa na elimu gani mbona alilamba usenetor.umeambiwa kuwa mwanaharakati kupitia chama nilazima uwe na elimu sokoine alikuwa na elimu gani? Agustini Lyatonga na degree feki ya mwaka mmoja.Lukuvı na degree za mezani.
 
tunataka watu wa kukomboa nchi, suala la elimu lipo ccm ndio maana elimu yao ni kuiba na kuuza wanyamapori na kutoa watu kucha na kuuwana kama walivyomfanyia RPC mwanza
Huyo mleta huu uzi atuambie je mwigulu anaelimu gani? si Economics first class je hiyo first class ndiyo anaitumia bungeni? matusi na kuwa singizia watu ugaidi ndio elimu ya first class economics? acha vihoja kwenye hoja ndugu VIVA CDM
 
sasa mbona unatoka kamasi
hivi dalasa la nne uneweza kujua kutumia komputer au kuandika?

unaona kutumia kompyuta ndiyo elimu umesoma mpaka la ngapi wewe gamba?yaaani we ulistahili ukaiishi na jamaa wa god must be crazy maana cuu..piii kweli
 
2015 Prof jay Vs Capt Komba jimbo la songea.
 

Kwasababu hata mziki unamwandikia wewe.Maskini wakufikiria wewe. Ndio mana hata mkeo amekukimbia
 
sasa mbona unatoka kamasi
hivi dalasa la nne uneweza kujua kutumia komputer au kuandika?

Duuh....bora ukae kimya ili ufiche ujinga wako kuliko kuendelea kuandika na kuwapa watu fursa ya kuona ni kwa namna gani una mapungufu makubwa ya ubongo.*

Elimu haipatikani darasani tu bwana mdogo....tena katika dunia ya leo mtu unaweza kujisomea na kuelimika kadri utakavyo bila kuingia kwenye majengo ya shule au chuo chochote.

Abraham Lincoln aliweza kuwa mwanasheria makini sana na baadae kuwa Raisi wa taifa kubwa duniani Marekani wakati elimu yake haikuzidi darasa la pili. Kama unaelewa kingereza soma hapa:

''While young Lincoln's formal education consisted approximately of a year's worth of classes from several itinerant teachers, he was mostly self-educated and was an avid reader and often sought access to any new books in the village''.

Hata kama kaishia darasa la pili Prof. J ana uelewa mkubwa sana na hilo linathibitishwa na tungo zake ambazo hata BBC walizitambua na kumpa tuzo.

Kama umeshindwa kulitambua hilo nasisitiza tena:
Tofauti yako na Prof. J. ni sawa na kumfananisha Lusinde mbunge wa Mtera na Barack Obama Raisi wa Marekani. Ta.ahi.ra mkubwa wee!
 

Naona imewauma sana ubunge kwake niwakugusa tu.Nawewe karibu tutakupa hata kazi ya uhouse boy.
 
Wewe ambae sio garasha umekisaidia nini chama chako?acha kuwa na mawazo mgando wewe, unataka kutuaminisha kuwa,magamba wote ni educated? Au kujiunga na chama lazima uwe na elimu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

the writer actually know nothing about politics especialy tanzanian politics, let him vibrate when others dance.
 
Mh watu wengine bwana unashindwa kujiuliza huyo rais wako ni doctor wa nini unajiuliza eti j ni professor wa nini eti captan komba ni captan wa nini? Najua inawauma lakini ukweli ndo huo j kaokoka sisi hatuangalii elimu kwanza elimu bongo???????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…